Habari za hivi punde: Akutwa kichakani Wawi Chakechake ameshaoza

 

Habari zilizotufikia hivi punde, mtu mmoja ameokotwa akiwa ameshafariki na kuoza eneo la Magome shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake Pemba

Taarifa za uhakika kutoka kwa sheha wa shehia ya Wawi, alisema alipigiwa simu juzi akiwa kwenye mkutano kwamba, ameokotwa mtu, na kweli alipofika alikumkuta akiwa ameshaoza na kuvimba… Ni nani maiti huyo, anaishi wapi, alikumbwa na maswahiba gani, tufuatilie sisi

Je unahitaji habari hii na ile ya Pujini ya kijana aliekatwa miguu, fuatilia WWW.pembatoday.com

Maana sisi kukuhabarisha ni fahari yetuuuuuuuuuuuuuuuuu……………………..