Habari za hivi punde: Tanzania yaitupa nje Kenya mashindano ya CHAN

 

Timu ya kandanda ya taifa Stars kutoka Tanzania imeiondoa timu ya Harambee Stars kutoka Nairobi Kenya katika mashindano ya CHAN

Awali timu hizo zinazoshirikisha wachezaji wa ndani pekee, hazikufungana katika mchezo wa kwanza uliochezwa Tanzania.

Tanzania imefanikiwa kuiadabisha Kenya kwa mikwaju 4-1 ya penalat nchini Kenya kwenye mchezo huo wa marudio