Je inawezekana kumvua madaraka Trump?

 

Si jambo la kawaida unaposhuhudia rais akiwa katika hatari ya kutimuliwa madarakani na bunge. Unayopaswa kujua juu ya azma ya wapinzani ya kumshitaki Trump.

 

Rais anaweza kuvuliwa madaraka endapo ”atakiuka sheria”. Sheria zinazosimamia kuvuliwa madaraka kwa rais sio rahisi. Hadi leo .

 

Licha ya hilo wabunge wa chama cha Democratic nchini Marekani wameazimia kumng’oa madarakani rais Trump. Wachanganuzi wa kisiasa hawana imani kuwa azimio la Democrats litafaulu. (BBC)