Watu zaidi ya saba wanusurika kufa nyumba yao ikiteketea kwa moto Pemba

 

WWW.PEMBATODAY, imepokea taarifa na kushuhudia nyumba moja inayomilikiwa na dk Hamza Suleiman Juma eneo la Gombani Madina kijiji cha Mtondooni shehia ya Gombani wilaya ya Chakechake, imeteketea kwa moto.

Watu wote zaidi ya saba waliokuwemo wakati nyumba hiyo ikiwaka moto, walinusurika baada ya kutimua mbio na kuiyacha nyumba yao ikiungua.

Habari hii kwa ukamilifuwake, utaipata kama ukiendelea kutufuatilia sisi Pembatoday, maana kukuhabarisha ni fahari yetu.